Pages

Friday, 29 November 2013

ONE DAY TO GO; MBEYA CITY CAMPUS NIGHT 2013

Hayawi sasa yamekua, ile siku tulikua tunaisubiri kwa siku kadhaa ndio hiyo imefika ambapo wanafunzi wa vyuo vilivyopo mbeya watakua wanapata maneno mazuri kutoka kwa watumishi wa Mungu waliopakwa mafuta, nisikupe kila kitu cha muhumu zaidi ni wewe kujisogeza eneo la tukio pale st.mary's schools karibu na REHEMA CONFRERNCE HALL (KADEGE), ni bure kabisa kwani usafiri utakuwepo wa kwenda na kurudi vyuoni usisahau kumshika mkona rafiki yako na Mungu atakubariki.

No comments:

Post a Comment