Majira kama ya saa moja asubuhi maandalizi ya kupamba ukumbi yalianza ambapo vijana wa RICC walijitolea kwa moyo na nguvu zao zote ili kufanikisha ukumbi unaku mzuri pia wakuvutia sana, ilipofika majira ya saa 12 jioni magari yalielekea maeneo ya vyuo ili kuwachukua wanafunzi na kuwaleta eneo la tukio. vyuo vilivyo shiriki ni kama vile TEKU, MUST, MZUMBE, TUMAINI, CDA, ST.AGGREY, TIA, FARAJA....n.k, kwa makadilio ni wanafunzi 2000+ walikuja kushiriki MCNC 2013.
Hali ya hewa jijini mbeya ilikuwa shwari kabisa ambapo jotoridi lilikuwa 17"C na kulikua na asilimia 24/15 za kunyesha mvua. Shughuri nzima ilianza saa mbili usiku, ilipambwa na waimbaiji mahiri kama vile RICC PRAISE TEAM ikiongozwa na kaleb, NEW LIFE BENDI na NEEMA MWAIPOPO ikishusha shangwe kwa kibao chake cha RAHA JIPE MWENYEWE.The most interesting thing ambacho kilifurahiwa na kila mmoja wetu aliekuwepo usiku huo ni ambapo zaidi ya wanafunzi 20 waliamua kumkabidhi yesu maisha yao, kwa liugha nyepesi tunaweza kusema waliokoka, ndelemo na vifijo + makofi yalipigwa kwa wingi zaidi kwani ni jambo la kheri sana mtu kumkubali YESU kuwa bwana na MWOKOZI wa maisha yetu .
No comments:
Post a Comment