Majira kama ya saa moja asubuhi maandalizi ya kupamba ukumbi yalianza ambapo vijana wa RICC walijitolea kwa moyo na nguvu zao zote ili kufanikisha ukumbi unaku mzuri pia wakuvutia sana, ilipofika majira ya saa 12 jioni magari yalielekea maeneo ya vyuo ili kuwachukua wanafunzi na kuwaleta eneo la tukio. vyuo vilivyo shiriki ni kama vile TEKU, MUST, MZUMBE, TUMAINI, CDA, ST.AGGREY, TIA, FARAJA....n.k, kwa makadilio ni wanafunzi 2000+ walikuja kushiriki MCNC 2013.
Hali ya hewa jijini mbeya ilikuwa shwari kabisa ambapo jotoridi lilikuwa 17"C na kulikua na asilimia 24/15 za kunyesha mvua. Shughuri nzima ilianza saa mbili usiku, ilipambwa na waimbaiji mahiri kama vile RICC PRAISE TEAM ikiongozwa na kaleb, NEW LIFE BENDI na NEEMA MWAIPOPO ikishusha shangwe kwa kibao chake cha RAHA JIPE MWENYEWE.REHOBOTH INTERNATIONAL CHRISTIAN CENTER (RICC) IS THE SUB BRANCH OF TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD (T.A.G), RICC IS MINISTERED BY REV. SUNDAY MATONDO. RICC FOUND IN MBEYA CITY NEW FOREST AREA.
Saturday, 30 November 2013
BRIEF NEWS OF MBEYA CITY NIGHT CAMPUS 2013.
Friday, 29 November 2013
ONE DAY TO GO; MBEYA CITY CAMPUS NIGHT 2013
Hayawi sasa yamekua, ile siku tulikua tunaisubiri kwa siku kadhaa ndio hiyo imefika ambapo wanafunzi wa vyuo vilivyopo mbeya watakua wanapata maneno mazuri kutoka kwa watumishi wa Mungu waliopakwa mafuta, nisikupe kila kitu cha muhumu zaidi ni wewe kujisogeza eneo la tukio pale st.mary's schools karibu na REHEMA CONFRERNCE HALL (KADEGE), ni bure kabisa kwani usafiri utakuwepo wa kwenda na kurudi vyuoni usisahau kumshika mkona rafiki yako na Mungu atakubariki.
Tuesday, 5 November 2013
MBEYA CITY NIGHT CAMPUS 2013
MBEYA CITY CAMPUS NIGHT AN EVENT FOR ALL COLLAGE STUDENTS Dr Zabdiel Kimambo,Pastor Joel Mnanauka, Pastor Joel,Rose Mush, Dr Maboko,Rev Matthew Sasali, Dr Nyanda and many others
will be on fire that day. We say by fire by force this generation must come back to God. Remember on 29.11.2013 At St Marys Schools Mbeya.
Subscribe to:
Comments (Atom)
